Shabiki
mwananke wa Yanga akitolewa kwenda kupata huduma ya kwanza baada ya
kuzimia alipokuwa akishagilia bao la pili dhidi ya watani wao wa jadi
Simba katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwenye Uwanja
wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zimetoka sare ya mabao 3-3.
Shabiki mwingine wa Yanga akiwa amezimia
Wapenzi wa Yanga wakishangilioa
Kikosi cha Yanga kilichopepetana na Simba