Kamati ya msiba
tunaomba kutoa taarifa kwamba mwili wa marehemu ndugu yetu Albert
Mangwair hautafika siku ya Jumapili ya tarehe 02/06/2013 kama ilivyokuwa
imepangwa hapo awali,hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo
wetu.
Kwa sasa tunasubiri taarifa kamili kutoka kwa wawakilishi
waliopo Afika Kusini,maratutakapopata taarifa hizo tutawafahamisha zaidi.